CHUKUA FUNGUO, KAFANYE KAZI RAIS AMWAMBIA MNDOLWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa Funguo Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya umwagiliaji Raymond Mndolwa kwa ajili ya Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma Machi 20, 2023.
Kulia ni Waziri wa kilimo, Hussein Bashe


Post a Comment