YOWERI MUSEVENI AKUTANA NA RAIS WA UKRAINE

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ukraine, Volodymyir Zelensky.

Katika akaunti yake ya Twitter, kiongozi huyo ambaye anahaha kwa washirika kuomba msaada ya kuhimili uvamizi wa Russia nchini kwake, alisema mazungumzo yao yalilenga kuimarisha uhusiano baina yao na usalama wa chakula kati ya mataifa hayo mawili.

No comments