RAIS SAMIA AWATAKIA KWARESMA NJEMA WAKRISTO WOTE TANZANIA
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni muumini wa dini ya kiislamu, jana aliwatakia heri ya Kwaresma wakristo wote Tanzania.
Jumatano ya majivu ilikuwa ni mwanzo wa safari ya Kwaresma kwa wakristo wote duniani na akatumia muda huo kuwataka kuiombea amani nchi yao ya Tanzania na dunia nzima kwa jumla.

Post a Comment