WAKILI AFARIKI BAADA YA KUMEZA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Wakili mmoja maarufu amefariki dunia baada ya kudaiwa kumeza dawa za kuongeza nguvu za kiume akijiandaa kufanya ngono na mpenzi wake.

Wakili huyo ambaye jina lake limehifadhiwa, anadaiwa kukodi chumba katika hoteli moja iliyopo katika mtaa wa Kitengule, jijini Nairobi nchini Kenya.

Maofisa wa Polisi waliofika eneo la tukio, walikuta vidonge vya kusisimua mwili wakati wa tendo la ndoa na mwanamke aliyeluwa naye, anadaiwa kufanya naye kazi katika ofisi moja.

No comments