VITAMBULISHO VYA TAIFA NIDA SASA HAKUNA EXPIRE DATE,VITAENDELEA KUTAMBULIWA

Kuanzia sasa, vitambulisho vya Taifa Nida havitakuwa na ukomo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es sSalaam leo kuwa kutokana na mahitaji, vitambulisho hivyo havitakuwa na ukomo kama ilivyokuwa hapo awali, hovyo amezitaka taasisi za fedha na simu, kuendelea kuvipokea, kuvitambua na kuvitumia kwa kadiri ya mahitaji ya mhusika.

No comments