RAIS WA MAREKANI AZURU UKRAINE, AAHIDI SILAHA NA FEDHA, URUSI YAONYA
Rais Joe Biden wa Marekani amefanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine akitokea Poland na kuahidi kutoa msaada wa fedha na silaha ili kuwaunga mkono wananchi wa nchi hiyo aliowaita masbujaa.
Katika mkutano na wanahabari akiwa na mwenyeji wake Rais Zelensky, Biden alisema nchi yake na Ulaya inasimama pamoja na Ukraine kuhakikisha uvamizi wa Urusi unashindwa.
Aliwasili nchini himo akitokea Poland ambako alikutana na Rais wa Nato. Akiwa humo, jeshi la Nato lilikuwa tayari kwa lolote.
Hayo yakitokea, Urusi imesema ziara ma ahadi za Marekani kwa Ukraine haziwezi kuleta matokea chanya.

Post a Comment