VIATU VYA KWATO ZA WANYAMA SASA VYABUNIWA NA MAJANGILI KUWAKWEPA MAAFISA
Katika kukabiliana na maofisa wanyama pori wanaowasaka kila siku, majangili nchini Kenya wamendelea na ubunifu wao wa kutumia viatu vilivyoongezwa kwato za wanyama ili kuwazubaisha watu wa mamlaka.
Imebainika kuwa wakiwa kazini kuwinda wanyama pori, majangili hao huvà a viatu hivyo ambapo maofisa wanaowafuatilia uamini kuwa ni nyayo za wanyama.
Ubunifu wa wahalifu hao umewahi oia kubaini mbinu hizo katika nchi ya Nigeria miaka kadhaa iliyopita.

Post a Comment