AFA KWA KUNYWA GONGO ALIYOCHANGANYA NA K VANT BILA KULA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Mutafungwa, amethibitisha kifo cha kijana mmoja ambaye alikunywa pombe aina ua gongo, akiwa amechanganya na K Vant, huku mashuhuda wakisema hakuwa amekula.

Kamanda Mutafungwa amesema kijana huyo ambaye alikuwa akijishughulisha na usafiri wa daladala, alikuwa na wenzake wakati mauti yakimfika.

No comments