KUBAMBIKIA WATU KESI KWAMPONZA OCD KILOMBERO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kilombero, Shadrack Kigonganya kwa kile ambacho kimedaiwa kushindwa kuwasimamia askari wake ambao wamekuwa wakiwabambikia wananchi kesi.
Alitoa uamuzi huo kufuatia malalamiko ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara

Post a Comment