MWENYEKITI SERIKALI ABDALLAH MAKUNGANYA AFARIKI MBINGA,AZIKWA
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Matarawe Wilaya ya Mbinga, Abdallah Makunganya, amefariki dunia jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mission mjini Mbinga.
Kwa mujibu wa wasifu wa marehemu uliosomwa nyumbani kwake, marehemu aliyezaliwa mwaka 1965, alikuwa kiongozi kwa zaidi ya miaka 15 na ameacha wake wawili, watoto nane na wajukuu 18.
Mamia ya waombolezaji wakiwa wanasubiri mwili makaburini
Msafara wa waombolezaji ukitoka nyumbani kwa marehemu kuelekea makaburini.

Post a Comment