MCHEKESHAJI WA KENYA ERIC OMOND AKAMATWA AKIANDAMANA NJE YA BUNGE
Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki raia wa Kenya, Eric Omondi amekamatwa na Polisi jijini Nairobi wakati akiongoza maandamano ya wananchi kupinga hali ngumu ya maisha nchini humo.
Omondi, akiwa kifua wazi na waandamanaji wenginr kadhaa, walikuwa wakipinga kupanda bei kwa bidhaa za vyakula na hali ngumu ya maisha kwa ujumla, wakilitaka bunge la nchi hiyo kuchhukua hatua.

Post a Comment