MASHABIKI WAMZOMEA MARIO BALOTELI, WACHINA MOTO JEZI YAKE

Mwanasoka mtukuta raia wa Italia, Mario Baloteli kwa mara nyingine amekutana na joto ya jiwe baada ya mashabiki wa timu anayoichezea kumzomea na kuichomo moto jezi yake nchini Uswizi.

Baloteli, nyota wa zamani wa Man City, Liverpool, Inter Milan na Olimpic Maiseire, amefunga mabao matano tu katika michezo 12 aliyocheza ya Ligi Kuu ya Uswizi na alikumbana na kadhia hiyo alipotolewa nje katika dakika ya 70.

No comments