KUTANA NA TATU BILA WA SONGEA MJINI

Anaitwa Salum Ayatu Seif maarufu kama Tatu bila, ni mtu mwenye jina kubwa mjini Songea  na vitongoji vyake.

Tatu bila ambaye ni mkazi wa mtaa wa Ruvuma mjini Songea, ni bingwa wa tiba za asili na ameshawahudumia watu wengi kote Kanda ya Kusini.

Akizungumza na Ojuku Blog, Tatu Bila ambaye alianza shughuli zake zaidi ya miaka 30 iliyopita, anatibu kila kitu kasoro ugonjwa wa Ukimwi.

"Sisemi uongo, mii siwezi kutibu ukimwi, ila matatizo mengine yote namaliza, sijui mke kakimbia, uneibiwa, au chochote hapa ndiyo mwisho" anasema Tatu bila akiwa ametulia nyumbani kwake.


Tatu Bila anapatikana kwa namba 0767344572

No comments