KICHANGA CHAKUTWA HAI CHINI YA VIFUSI UTURUKI

ONLY GOD CAN: Siku tisa baada ya tetemeko kubwa la ardhi lilisababisha vifo vya maelfu ya watu katika nchi mbili jirani za Uturuki na Syria, timu ya waokoaji wamefanikiwa kumkuta mtoto mwenye umri chini ya miezi mitatu akiwa hai.

Taarifa kutoka mji wa Azzah nchini Uturuki, zinasema mtoto huyo aliokolewa wakati waokoaji wakiendelea na kazi ya kuzoa vifusi katika majengo mengi yaliyoporomoka.

No comments