BALOZI WA FINLAND AKUTANA NA KATIBU MKUU UCHUKUZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Gabriel Migire (kulia), akifanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Finland nchini Tanzania, Bi. Sari Uusi-Rauva ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.



Mazungumzo yao yalilenga kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland hasa katika eneo la hali ya hewa.

No comments