WACHINJAJI WAKINOA VISU VYAO UKUMBINI

Sehemu ya umati wa Wajumbe wa Mkutano wa Uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) tayari kabisa kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kufanya maamuzi.

No comments