PRESHA ZA UCHAGUZI JUU DAKIKA ZIKiYOYOMA UKUMBiNI FDC

Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Mbinga wakiwa wamekaa kwenye benchi moja kusubiri muda wa kujieleza kabla ya kupigiwa kura.

Kutoka kushoto ni Herswida Sines Komba, Daniel Patson Nkoma, John Charles Mbawala na Isihaka Mohamed Rajabu.

No comments