VIERRA AAMINI NEWCASTLE ITABEBA NDOO

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Patrick Vierra anaamini timu ya Newcastle inaweza kupambana na kutwaa ubingwa la Ligi Kuu England licha ya kuzidiwa pointi tisa na vinara wa michuano hiyo, The Gunners.

Vierra ambaye kwa sasa ni kocha wa Craytal Palace, amesema timu hiyo inayosafiri kukifuata kikosi chake kesho Jumamosi, wana ubavu wa kutwaa taji hilo msimu huu.


No comments