SIKUKUU JANGWANI LEO, DAKIKA 45 MTU KALA MKONO
Kikosi cha Profesa Nasredine Nabi kimepeleka sikukuu katika eneo lote la Kariakoo, hasa mitaa ya Jangwani na Twiga, kwa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Dar Yanga Afrika, kuwachaka Rhino Rangers kwa mabao 5_0 hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika.
Kipute hicho kinachoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa a.k.a. Lupaso, Yanga wametawala mchezo hadi wanakera....

Safii
ReplyDelete