KANE KUIBUKIA MAN U

Kocha wa Man United, Erick ten Hag amedokeza kuwa ana lengo la kumleta kikosini mwake, strika nyota wa England na Spurs, Harry Kane.

Hag anasema anahitaji mchezaji nambari tisa wa asili ili aweze kukisuka kikosi chake kinachoshika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu England.

Kane ambaye ni mfungaji bora wa muda wote wa Spurs, anamaliza mkataba wake na miamba hiyo ya London mwishoni mwa msimu huu.

No comments