HABARI PICHA

 

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, akifungua Semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, yanayofanyika jijini Mwanza.

Mtaalamu Kitengo cha Mizani kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Vicent Tarmo, akitoa elimu kwa wadau wa sekta ya usafirishaji, kuhusu ya Sheria ya Afrika Mashariki ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018,jijini Mwanza.

No comments