YANGA YAPIGWA FAINI MILIONI 11.5 NA CAF
KLABU ya Yanga SC imepigwa faini ya
USD 5000 (Tsh milioni 11.5) na Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutokana na
kukiuka baadhi ya taratibu ikiweko kuingiza mashabiki tofauti na maagizo ya
kanuni za corona kutoka CAF, kosa jingine ni kushambuliwa kwa mmoja kati ya
Viongozi wa Timu ya Rivers United ya Nigeria ambae inadaiwa alishambuliwa na
mmoja wa walinzi wa uwanjani kabla ya mechi vs River United iliyochezwa Dar es
salaam

Post a Comment