WAZUIWA KUMUONA MBOWE UKONGA

 Tanzania: Chadema's Mbowe Charged With Financing Terrorist Activities -  allAfrica.com

ZIPO taarifa kuwa watu waliokuwa wamekwenda kumuona Freeman Mbowe aliyeko mahabusu katika gereza la Ukonga wamezuiwa kumuona.

Mbunge wa zamani wa Tarime, John Heche ameandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa amezuiwa kumuona na kuelezwa kuwa hayo ni maelekezo waliyopewa Jeshi la Magereza.

No comments