SHERIA YA UDHIBITI UZITO WA MAGARI YA AFRIKA MASHARIKI YA MWAKA 2016 NA KANUNI ZAKE ZA MWAKA 2018 YAFUNGWA JIJINI DODOMA
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi), Mhandisi Kashinde Mussa akifunga semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 iliyofanyika katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma
Baadhi
ya washiriki wa mafunzo ya Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika
Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 wakimsikiliza mgeni rasmi,
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Usalama na Mazingira, Wizara ya Ujenzi na
Uchukuzi (Ujenzi), Mhandisi Kashinde Mussa (hayupo pichani), wakati akifunga
mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku moja katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

Post a Comment