PIGO SIMBA: SAKHO KUWAKOSA WABOTSWANA

 Inaweza kuwa picha ya Watu 2, watu wanacheza spoti na maandishi

 

Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amekiri atamkosa staa wake, Pape Sakho dhidi ya Jwaneng Galaxy FC ya Botswana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Oktoba 17.

“Tupo tayari kwa mechi kubwa na muhimu kwetu nimewaandaa wachezaji wangu vizuri, ili kuhakikisha tunaanza vyema ugenini.”

“Pape Ousmane Sakho anajeraha kubwa alilopata kwenye mchezo wetu na Dodoma Jiji hivyo itamchukua muda kurejea, ila kwa wachezaji wengine ni matatizo ya kawaida." amesema Kocha huyo aliyeifikisha Robo fainali Simba msimu uliopita

 

No comments