MAPINGAMIZI YA MTOTO WA REGINALD MENGI YATUPILIWA MBALI
MAHAKAMA ya Rufani imetupilia mbali mapingamizi ya Abdiel
Reginald Mengi na Benjamin Abraham Mengi (mdogo wa marehemu Mengi) dhidi ya
maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe
Watu hao walimwekea Jacqueline pingamizi la awali la hoja za
kisheria wakiiomba Mahakama iyatupilie mbali maombi yake wakieleza wosia
haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali

Post a Comment