LENGAI OLE SABAYA KUHUKUMIWA LEO ARUSHA

 Sabaya names Magufuli, Mpango and BOT governor in his defence - The Citizen

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Oktoba 15, 2021 itatoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili baada ya hukumu ya Kesi hiyo kuahirishwa Oktoba Mosi mwaka huu.

No comments