ALIYEUA WATOTO 10 AUAWA BAADA YA KUTOROKA POLISI
KIJANA wa Kenya Masten Wanjalla, ambaye alikiri kuwaua zaidi ya watoto 10 nchini Kenya kisha kukamatwa na kufanikiwa kutoroka kwenye kituo alichokuwa anashikiliwa akisubiri kufikishwa mahakamani, ameuawa na raia wenye hasira kali. Polisi wamesema Wanjalla ameuawa kwa kupigwa hadi kufariki na watu wenye hasira kali katika Kijiji cha Mukhwenya, Bungoma .
"Kuna watoto walikuwa wanaenda Shule walimuona na wakamtambua na wakatoa taarifa Polisi, alikimbilia kwenye nyumba moja akajifungia, Wananchi waliokuwa na hasira walivunja mlango na wakamtoa nje and within two seconds walikuwa wamemuua tayari," alisema Kiongozi wa Kijiji cha Mukhwenya

Post a Comment