DR MPANGO ASEMA KUNA WANA CCM WANAHUJUMU MIRADI MIKUBWA NCHINI

 TRILIONI 1.4/ZATENGWA UMEME BWAWA LA NYERERE

MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye mradi wa SGR!

No comments