STAA AREKODIWA AKIFANYA MAPENZI, AKATAA KUTOA FEDHA ILI USIVUJISHWE

 Tiwa Savage, Queen of Afrobeats, Makes a New Start - The New York Times

STAA wa Muziki Kutokea Nchini Nigeria Tiwa Savage amefunguka kutumiwa mkanda wa Ngono (Sex Tape)

Akiwa Kwenye Interview na The Angel Martin Show (POWER 105.1) Nchini Marekani
amesema kwamba mkanda huo unaonesha ni wa kwake pamoja na mtu ambaye yupo kimahusiano naye kwa sasa

"Jana nilikiwa njiani kwenye gari langu meneja wangu akanitumia ujumbe kwamba kuna video amenitumia niitazame. Nilishtuka na kushangaa pindi nilipoiona na kujiuliza kaipata wapi.

Ilikuwa ni kama baada ya dakika 20 kufanyika, huo mkanda alitumiwa kijana wetu mmoja kwenye timu yetu ikituonyesha mimi na mtu ambaye niko naye kwenye uhusiano.

Nilichanganyikiwa na kumuuliza meneja tunafanyaje, meneja wangu akaniuliza ni kiasi gani anahitaji tumpatie? Nikamwambia hapana kwa sababu tukimpa leo, atarudi tena baada ya miezi miwili mbelen atahitaji tena, siwezi ruhusu mtu kuniibia kwa kitu ambacho si halali."

 

No comments