DIAMOND ASHINDA TUZO MSANII BORA AFRIKA 2021
STAA mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ameshinda Tuzo za Msanii Bora wa Afrika za huko Ghana ambazo zinafahamika kama Ghana Music Awards- United KingDom) Mastaa wengine waliokuwa wakiwania tuzo hiyo ni pamoja na Master Kgsa, Wizkid, Davido, Patoranking, Fireboy, Burna Boy na wengineo.
Hafla ya utoaji wa tuzo hizo imefanyika usiku wa kuamkia leo huko London katika ukumbi wa Royal Regency.

Post a Comment