BRIGEDIA IBUGE AKIKAGUA UWANJA WA NDEGE SONGEA

 

MENEJA wa Kiwanja cha ndege cha Songea Jordan Mchami (wa kwanza kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge mwenye miwani wakati akikagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo. (Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Songea, Pololet Mgema.

 

No comments