WATU TISA WAFARIKI NEW YORK NA NEW JERSEY MAFURIKO YAKILETA MAANA MAKUBWA

WATU tisa wamepoteza
maisha baada ya mafuriko kuyakumba maeneo ya New York na New Jersey kiasi
kwamba gavana ametaka mnsaada wa haraka kutoka Serikali Kuu ya Marekani.
Phil Murphy, Gavana wa New Jersey amesema atatuma maombi mazito
kwa Serikali Kuu ili kusaidia kurejesha hali ya kawaida.
“Jambo hili litachukua
muda kwa sisi kuweza kuliweka sawa, hakuna mjadala juu ya hili," alisema gavana
huyo kwenye mkutano na wanahabari leo asubuhi.
·

Post a Comment