NI MAPUMZIKO TAIFA STARS DHIDI YA DR KONGO
HADI sasa ni mapumziko, katika michuano ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya Tanzania na DR Kongo, ni 1-1 huko Lubumbashi. Bao la Stars ka kusawazisha limewekwa kimiani na winga wake wa kimataifa anayecheza Morocco, Simon Msuva dakika 35

Post a Comment