VITA YA WATANI YAHAMIA KWENYE JEZI, VUNJABEI AIPAISHA JEZI YA MNYAMA

 Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na maandishi yanayosema 'dpdat DIZZIM HABARI HABARIZAMICHEZO ZA MICHEZO UZINDUZI WA JEZI ZA SIMBA Mwanaspoti @mabelSports'

SIKU chache baada ya mabingwa wa kihistoria, Yanga kiuzinbdua jezi ambazo walidai ni kali 'dunia nzima', leo muuzaji rasmi wa jezi za Simba, Fred Ngajiro maarufu kama Vunjabei, ameibuka na kusema .."Tutazindua jezi nzuri sana, tutakuwa na jezi za aina tofauti sana kulinganisha na timu zingine za ndani, baada ya uzinduzi jezi zitakuwepo kwenye maduka yote ya Vunja Bei na tutauza masaa 24,” CEO wa kampuni ya Vunja Bei, Fred Ngajiro.

No comments