PINGAMIZI LA MBOWE LATUPWA MAHAKAMANI, MAWAKILI WAKE WAWEKA PINGAMIZI JIPYA

PINGAMNIZI lililowakilishwa na
mawakili wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe la kupinga Mahakama Kuu
Division ya Makosa ya Uhujumu Uchumi kusikiliza kesi ya Ugaidi, limetupwa.
Kwa maana hiyo, Mahakama hiyo sasa
inaweza kuendelea na kesi hiyo.
Hata hivyo, Mawakili wa Mbowe
wameweka pingamizi jipya, ambalo linapinga hati ya mashtaka kutokidhi vigezo
vya kisheria. Mahakama imekubali
kusikiliza pingamizi hilo.

Post a Comment