ULINZI MKALI USIKILIZWAJI KESI YA MBOWE LEO

WAKATI Mahakama ikitarajiwa kutoa
uamuzi leo juu iwapo Mahakama ya Ufisadi ina uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi
inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, hali ya ulinzi
imeimarishwa maradufu katika eneo la Mahakama hiyo iliyopo karibu na Shule ya
sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo.
Milango ya geti la kuingilia
mahakama hapo imefungwa na hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia.

Post a Comment