TALIBAN YAONESHA VIFAA VYAKE VYA KIJESHI
KUNDI la Talibani limeendelea kusheherekea
kuchukuwa udhibiti kamili katika nchi ya Afghanistan
Video inaonyesha kundi hilo likiwa na vifaa vyake vya kijeshi
pamoja na vile walivyoteka katika mji wa Kandahar.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kijeshi
helkopta, vifaru nk.
Hatua hiyo ni baada ya serikali ya Marekani kuondoa vikosi
vyake nchini humo.

Post a Comment