SOKO LA KARIAKOO KUENDESHWA KIMATAIFA

 Maswali magumi 5 moto wa Kariakoo

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema “Kuhusu Soko la Kariakoo maandalizi yanaendelea ya kulikarabati na kuliandaa lirudi baada ya ile ajali, tunataka Soko la Kariakoo lirudishwe katika sura ya Soko la Kimataifa”

“Leo Rais Samia anapokea taarifa juu ya maandalizi yanavyokwenda na juhudi mbalimbali tunataka Soko liendeshwe kama yanavyoendeshwa Masoko mengine ya Kimataifa.”

 

No comments