SIMBA QUEENS YASONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA, UKANDA WA CECAFA

TIMU ya Simba Queens wamefanikiwwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kuwania kufuzu ligi ya mabingwa Afrika kwa wanawake ( ukanda wa CECAFA ) baada ya ushindi wa mabao 10-0 dhidi ya FAD Fc ya Djibout.
Wafungaji wa mabao ya Simba ni Mawete Musolo na Oppah Clement Sanga ambao kila mmoja alipachika mabao matatu, Asha Juma na Asha Djaffar ambao wote walifunga mabao mawili kila moja.

Post a Comment