RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA ANGEL MIKEL WA UJERUMANI KWA SIMU

RAIS Samia Suluhu
Hassan wa Tanzania, leo Septemba Mosi,
2021 amefanya mazungumzo na kiongozi wa Ujerumani, Kansela Angel Mikel kwa njia
ya simu, akiwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Mawasiliano Ikulu, viongozi hao wawili wamepongezana kwa juhudi mbalimbali wanazochukua katika kuimarisha uhusiano wa nchi mbili hizi.


Post a Comment