KIRUSI KIPYA CHA CORONA CHACHUNGUZWA, CHAWEZA KUWA SUGU KWA CHANJO
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO)
linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621
ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia
Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria
kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi zinahitajika ili kuchunguza
hilo.

Post a Comment