ORIJINO COMEDY BILA JOTI INAKUAJE SASA?
 
MASWALI ni mengi kuhusu
kutokuwepo kwa mchekeshaji maarufu wa kundi la Orijino Comedy amballo limekuja
na ujiuo mpya chini ya Dstv, hasa baada ya kutoonekana katika uzinduzi wa Xigo
hapo jana.
Sasa Meneja Masoko wa Dstv,
Baraka Shelukindo amefunguka mubashara.
“Kuhusu Joti wakati tunawafuata
Orijino Comedy kama Team kuna baadhi ya watu walikuwa na mikataba tofauti
inayowafunga, hivyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu tunalazimika kuanza
bila Joti kwa mwanzo lakini tuna matumaini ya kuwa atajiunga na wenzake siku za
usoni”

Post a Comment