NI AL AHYL KUKIPIGA NA MNYAMA SIMBA DAY?

TETESI ni nyingi juu ya miamba gani
wa barani Afrika watakuja nchini kukipiga na mabingwa wa nchi katika kilele cha
tamasha lao la kila mwaka la Simba Day?
Inadaiwa Klabu ya Al Ahly ya Misri
imepokea mwaliko wa kuja nchini kucheza na Septemba 19 mwaka huu.
Mpaka sasa kuna uwezekano mkubwa wa klabu hiyo kukubali mualiko huo. Inaelezwa mchezo huo unaweza kutumika kumuaga Luis Miqussone aliyejiunga na miamba hiyo ya soka la Africa akitokea Simba.

Post a Comment