MBAPPE AKATAA MKATABA MPYA KUSHINIKIZA AUZWE REAL MADRID
MSHAMBULIAJI Mshambuliaji Kylian Mbappe amekataa ofa ya EURO (€
45) Milioni kama mshahara kwa mwaka ambao ni sawa na Tsh 123+ Billioni yaani
(123,140,143,575.00) kutoka PSG.
Amekataa ofa hiyo ya kusaini mkataba mpya baada ya klabu ya PSG jioni
hii kukataa kitita cha rekodi ya Dunia cha EURO 200 kutoka katika klabu ya Real
Madrid wakimtaka Mbappe (22)
Hivyo basi, Mbappe ataondoka bure PSG mkataba wake wa mwaka mmoja ukiisha kama asipouzwa dirisha hili linalofungwa leo usiku.

Post a Comment