RC MAKALA APOKEA KERO 91 ZIARANI DAR
KATIKA ziara ya Kibamba, RC Makalla amesema jumla ya kero 96
amezipokea kwa njia ya maandishi na zote zimepitiwa moja baada ya nyingine ili
kuhakikisha wananchi hao wanapatiwa haki zao kwa wakati huku nyingi zikiwa ni
migogoro ya ardhi kutoka katika Kata ya Kwembe.
Hata hivyo amewataka watendaji wote aliowapa maagizo wakati
wa kutatua kero hizo, watekeleze maagizo hayo, nakuwa kinyume na hapo ni
kupuuza maelekezo ya yake.
"Migogoro mingi ya ardhi inaonekana kuwepo Kata ya
Kwembe, hivyo nakuaguza Kamishana wa ardhi uyashughilikie na watu wapate majibu.
Leo Septemba 1, 2021 RC Makalla ataendelea na ziara ya kusikiliza
na kutatua kero za wananchi katika jimbo la Segerea, viwanja vya Buguruni
Vijana.

Post a Comment