GWAJIMA, SLAA WAADHIBIWA NA KAMATI YA BUNGE

WABUNGE wawili wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Josephat Gwajima na Jerry Silaa ambao walishtakiwa
mbele ya Kamati ya Bunge kutokana na kutoa kauli tata, wameadhibiwa kwa
kutotakiwa kuhudhuria mikutano miwili ya Bunge lililoanza vikao vyake leo mjini
Dodoma.

Post a Comment