MAITI SITA ZAOKOTWA MSITUNI KISARAWE, MADIWANI WAJA JUU
WAKATI hali ya amani nchini kwa ujumla ikitaarifiwa kuwa ni
nzuri, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wameiomba
kamati ya ulinzi na usalama mkoani humo kukomesha matukio ya utupaji maiti
katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, ambapo Julai hadi Agosti maiti sita zimekutwa
kwenye msitu huo.
Chanzo: East Africa TV

Post a Comment