BORA TUFIE HUKU AFGHANISTAN KULIKO KUREJEA NYUMBANI UGANDA

 Waziri Uganda ashindwa eleza walipopelekwa waliokamatwa na wanajeshi |  UDAKU SPECIAL

 

NI KAMA kituko ila ndiyo ukweli. Licha ya ukweli kwamba wanamgambo wa Taliban wanaotawala Afghanistan kwa sasa ni tishio hata kwa wananchi wao wenyewe, raia wa Uganda walioko huko wamekataa ofa ya serikali kuwarejesha nyumbani.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema Waganda walioko Afghanistan wamegoma kurudi Uganda

Jen. Odongo amesema kati Waganda walioko Afghanistan ni watatu tu walioko tayari kurudi na wameshaandaliwa utaratibu huku wengine wakisema wako salama.

Nchi kadhaa zimekuwa zikiwatoa raia wake baada ya Taliban kudhibiti nchi.

No comments