ZITTO KABWE, JOHN MNYIKA WAKUTANA

WANASIASA mahiri wa upinzani, ambao wakati mmoja walipata kuwa maadui wakubwa baada ya kutofautiana, Zitto Kabwe na John Mnbyika, wamekutanba na kufanya mazungumzo, wotev wakiwa ni viongozi wakubwa wa vyama vikubwa vya upinzani Tanzania.=
Zitto
ni kiongozi mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo wakati Mnyika ni Katibu Mkuu wa
Chademna.
Wanasiasa hao vijana walikutana Zitto akiwa ni Mwenyekiti wa Juykwaa la Demokrasia Nchini (TCD) ambaye alianza kutekeleza majukumu ya nafasi yake hiyo mpya.
Zitto kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta maridhiano
miongoni mwa watanzania

Post a Comment